Home About Us Send Us Docs Tell a Friend Public Info Contact Us  
    Search Information:
Advance Search  
 
 
Baraza la Mawaziri

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

BARAZA LA MAWAZIRI

 

OFISI YA RAIS

Ofisi ya Rais : Wizara ya Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora

Mawaziri: George Simbachawene na Angela Kairuki
Naibu Waziri: Selemani Said Jaffo ----------------------------------------------------------------------------------------------------
Ofisi ya Makamu wa Rais:Wizara ya Muungano na Mazingira

Waziri: January Makamba
Naibu Waziri: Luhaga Joelson Mpina ----------------------------------------------------------------------------------------------------
Ofisi ya Waziri Mkuu: Wizara ya Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu

Waziri: Jenista Mhagama
Naibu Waziri: Dkt. Possy Abdallah na Anthony Mavunde ----------------------------------------------------------------------------------------------------
WIZARA

Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi

Waziri: Mwigulu Nchemba
Naibu Waziri: William Ole Nasha

Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano

Waziri: Profesa Makame Mbarawa
Naibu Waziri: Mhandisi Edwin Ambandusi Ngonyani

Wizara ya Fedha na Mipango

Waziri: Dkt. Philip Mpango
Naibu Waziri: Dkt. Ashantu Kijaji

Wizara ya Nishati na Madini

Waziri: Profesa Sospeter Mwijarubi Muhongo
Naibu Waziri: Dkt. Medard Kalemani

Wizara ya Katiba na Sheria

Waziri: Dkt.Harrison Mwakyembe

Wizara wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afika Mashariki, Kikanda na Kimataifa

Waziri: Balozi Dkt. Augustine Mahiga
Naibu Waziri: Dkt. Suzan Kolimba

Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa

Waziri: Dkt.Hussein Mwinyi

Wizara ya Mambo ya Ndani

Waziri: Charles Kitwanga
Naibu Waziri: Mhandisi Hamad Masauni

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Waziri: William Lukuvi
Naibu Waziri: Angelina Mabula

Wizara ya Maliasili na Utalii

Waziri: Profesa Jumanne Maghembe
Naibu Waziri: Mhandisi Ramol Makani

Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji

Waziri: Charles John Mwijage

Wizara ya Elimu,Sayansi Teknolojia na Ufundi

Waziri: Profesa Joyce Lazaro Ndalichako
Naibu Waziri: Mhandisi Stella Manyanya

Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto

Waziri: Ummy Mwalimu
Naibu Waziri: Dkt. Hamis Kigwangalla

Wizara ya Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo

Waziri: Nape Nnauye
Naibu Waziri: Anastasia Wambura

Wizara ya Maji na Umwagiliaji

Waziri: Mhandisi Gerson Lwenge
Naibu Waziri: Mhandisi Isack Kamwela

For more information about Tanzania Online please email; tzonline@esrf.or.tz


Highlights
No records
 
 

Join E-Mail list
Your email address:
Yes No

Connect with TzOnline

 
Copyright © 2001 - 2008 Tanzania Online - funded by JP4 Program and Tanzanian Government and hosted by ESRF