Home About Us Send Us Docs Tell a Friend Public Info Contact Us  
    Search Information:
Advance Search  
 

Hotuba Ya Waziri Mkuu, Mheshimiwa Mizengo Peter Pinda (Mb), Kuhusu Mapitio Na Mwelekeo Wa Kazi Za Serikali Na Makadirio Ya Matumizi Ya
/ 2011


Abstract:

Mheshimiwa Spika, naomba kutoa Hoja kwamba kutokana na Taarifa iliyowasilishwa leo ndani ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala, iliyochambua Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge lako sasa lipokee na kujadili Taarifa ya Mapitio ya Utekelezaji wa Kazi za Serikali kwa Mwaka 2010/2011 na Mwelekeo wa Kazi za Serikali kwa Mwaka 2011/2012. Vilevile, naliomba Bunge lako Tukufu likubali kupitisha Makadirio ya Matumizi ya Fedha ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Taasisi zilizo chini yake pamoja na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2011/2012.


[ FullText  ]  |  [  Home ]

 

For more information about Tanzania Online please email; tzonline@esrf.or.tz


 
 
Home | About Us | ContactUs | Taknet| Send Us Information | Feedback
Copyright © 2001 - 2008 Tanzania Online - funded by JP4 Program and Tanzanian Government and hosted by ESRF