Home About Us Send Us Docs Tell a Friend Public Info Contact Us  
    Search Information:
Advance Search  
 

Kuanza Kutolewa kwa Leseni za Madini Chini ya Sheria ya Madini ya Mwaka 2010
/ 2011


Abstract:

1. Serikali ya Tanzania ilipitisha Sheria mpya ya madini ya mwaka 2010, ambayo ilianza kutumika tarehe 1 Novemba 2010. Sheria hiyo imelenga kuboresha usimamizi wa sekta ya madini. Kutokana na mabadiliko hayo ya sheria, Wizara imefanya marekebisho ya mfumo wa utoaji na usimamizi wa leseni (Mining Cadastral Information Management System-MCIMS) ili mfumo huo uendane na Sheria hiyo.


[ FullText  ]  |  [  Home ]

 

For more information about Tanzania Online please email; tzonline@esrf.or.tz


 
 
Home | About Us | ContactUs | Taknet| Send Us Information | Feedback
Copyright © 2001 - 2008 Tanzania Online - funded by JP4 Program and Tanzanian Government and hosted by ESRF