HOTUBA YA WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI, MHESHIMIWA DKT. DAVID MATHAYO DAVID (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MPANGO WA MAENDELEO NA MAKADIRIO YA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2011/2012
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA /
2011
Abstract:
Mheshimiwa Spika, kutokana na taarifa iliyowasilishwa leo hapa Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji inayohusu Wizara, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu lipokee, lijadili na kupitisha Mpango wa Maendeleo na Makadirio ya Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka wa fedha 2011/2012
[ FullText ] | [ Home ]
|