Home About Us Send Us Docs Tell a Friend Public Info Contact Us  
    Search Information:
Advance Search  
 

MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA / 2012


Abstract:

Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2012/13 unabainisha misingi, malengo, vipaumbele, mikakati ya utekelezaji, na changamoto zilizopo hivi sasa katika utekelezaji wa mipango ya maendeleo. Aidha, Mpango umejikita katika kuwekeza kwenye maeneo ya kipaumbele ya kimkakati ambayo yataleta matokeo ya haraka katika ukuaji wa uchumi na kwa namna ambayo ni shirikishi


[ FullText  ]  |  [  Home ]

 

For more information about Tanzania Online please email; tzonline@esrf.or.tz


 
 
Home | About Us | ContactUs | Taknet| Send Us Information | Feedback
Copyright © 2001 - 2008 Tanzania Online - funded by JP4 Program and Tanzanian Government and hosted by ESRF