Home About Us Send Us Docs Tell a Friend Public Info Contact Us  
    Search Information:
Advance Search  
 

HOTUBA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS,
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA / 2012


Abstract:

Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu likae kama Kamati kwa ajili ya kupokea na kujadili Taarifa ya Hali ya Uchumi kwa mwaka 2011 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2012/13. Taarifa hizi ni sehemu ya utekelezaji wa Mpango wa kwanza wa Maendeleo wa Miaka Mitano ambao ulipitishwa na Bunge hili mwezi Juni 2011


[ FullText  ]  |  [  Home ]

 

For more information about Tanzania Online please email; tzonline@esrf.or.tz


 
 
Home | About Us | ContactUs | Taknet| Send Us Information | Feedback
Copyright © 2001 - 2008 Tanzania Online - funded by JP4 Program and Tanzanian Government and hosted by ESRF