Home About Us Send Us Docs Tell a Friend Public Info Contact Us  
    Search Information:
Advance Search  
 
 
Tanzania Online News and Highlights


 
News Archive   
Search by Category: Search by Sub Category: Search by Keyword
Show All » Corruption & Governance » Corruption & Governance »

Share |

Darubini ya Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025: Utawala Bora na Utawala wa Sheria - June-10-15

Toleo la tatu la Darubini ya Dira ya Maendeleo ya Taifa (DDMT) linaelezea utekelezaji wa nguzo ya tatu ya Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025 ambayo inalenga kuimarisha uongozi bora na utawala wa sheria nchini, ili kujenga uwezo wa Watanzania wa kuwafanya viongozi na watumishi wa umma kuongeza ufanisi katika utendaji - kazi na uwajibikaji. Uongozi bora na utawala wa sheria ni vichocheo muhimu katika kuleta maendeleo ya kiuchumi na kijamii kupitia mifumo wa uwajibishwaji kwa wavunjaji wa sheria za kazi na utoaji wa motisha kwa wafanyakazi bora ili kuhamasisha ubunifu, ustadi, uvumbuzi na kuongeza ubora katika utoaji wa huduma kwa umma

Full Text


« Go Back


 
Copyright © 2001 - 2008 Tanzania Online - funded by JP4 Program and Tanzanian Government and hosted by ESRF